⚠️ Imetafsiriwa ili kukusaidia kuelewa. Nakala rasmi ya Katiba ya Kenya ni ya Kiingereza; kama kuna tofauti yoyote, nakala ya Kiingereza ndiyo yenye nguvu. Hii si ushauri wa kisheria. Kanusho
🧒
Art. 231
Benki Kuu ya Kenya
Benki Kuu hutunza fedha za Kenya na kudumisha uthabiti wa bei.Art. 231(2)
(2) Benki Kuu ya Kenya inawajibikia kuelekeza sera za kifedha, kudumisha udhabiti wa
bei, kutoa sarafu na kutekeleza majukumu mengine kama yalivyotolewa na sheria ya
Bunge.