⚠️ Imetafsiriwa ili kukusaidia kuelewa. Nakala rasmi ya Katiba ya Kenya ni ya Kiingereza; kama kuna tofauti yoyote, nakala ya Kiingereza ndiyo yenye nguvu. Hii si ushauri wa kisheria. Kanusho
🧒
Art. 34
Uhuru wa vyombo vya habari
Wanahabari wako huru kusema ukweli, na Serikali haipaswi kuwazuia.Art. 34(1)
(1) Uhuru na kujitegemea kwa vyombo vya matangazo, kuchapisha na vingine vya
habari ya aina yoyote unahakikishwa lakini hauhusishi masharti yaliyotajwa katika
Kifungu cha 33 (2) .