Skip to content
KenyaSimplified

Imetafsiriwa ili kukusaidia kuelewa. Nakala rasmi ya Katiba ya Kenya ni ya Kiingereza; kama kuna tofauti yoyote, nakala ya Kiingereza ndiyo yenye nguvu. Hii si ushauri wa kisheria. Kanusho

Mahakama

Jinsi mahakama zinavyofanya kazi — kwa watoto

Mahakama ni kama waamuzi. Husaidia watu kutatua mabishano kwa haki na kuhakikisha sheria zinafuatwa.

Mahakama husaidia

Kama watu hawakubaliani, au mtu anavunja sheria, mahakama husikiliza na kuamua kwa haki.

Art. 159

(1) Mamlaka ya Mahakama yanatokana na watu, yanajikita katika mahakama na mahakama maalum zinazobuniwa kulingana na Katiba hii. (2) Katika kutekeleza majukumu ya kimahakama, mahakama na mahakama maalum zitaongozwa na kanuni zifuatazo- (a) haki itatendwa kwa kila mtu bila kuzingatia hadhi ; (b) Haki haitacheleweshwa; (c) njia m’badala za kusuluhisha kesi zikiwemo msamaha, mashauriano, na maridhiano na njia za kitamaduni za kusuluhisha migogoro zitaimarishwa, kwa mujibu wa ibara ya (3); (d) haki itatolewa kwa kuzingatia matatizo yaliyopo ya utaratibu wa kitaalamu; na (e) lengo na kanuni za Katiba hii zitatunzwa na kuendelezwa. (3) Mbinu za kitamaduni za utatuaji wa migogoro hazitatumiwa kwa njia ambayo- (a) itakiuka Sheria za Haki; (b) itagongana na haki na maadili au kusababisha matokeo yatakayogongana na haki na maadili; (c) haiambatani na Katiba hii au sheria yoyote iliyoandikwa.

Soma kifungu kamili →

Mahakama, kuanzia ndogo hadi kubwa

Kama hupendi jibu, unaweza kumwomba mahakama kubwa iangalie tena.

Mahakama Kuu Zaidi

Mahakama kubwa zaidi. Jibu lake ni la mwisho.

Art. 163

(1) Kutabuniwa Mahakama ya Juu itakayojumuisha – (a) Jaji Mkuu, ambaye atakuwa rais wa mahakama hiyo; (b) Naibu Jaji Mkuu, ambaye – (i) atakuwa naibu wa Jaji Mkuu; na (ii) atakuwa Naibu wa rais wa mahakama hiyo; na (c) majaji wengine watano. (2) Mahakama ya Juu itakuwa imebuniwa kisawasawa kwa minajili ya kesi zake iwapo itakuwa na majaji watano. (3) Mahakama ya Juu- (a) itakuwa na mamlaka ya kipekee ya kusikiliza na kuamua kesi zinazohusu kura za afisi ya Rais zinazotokana na Kifungu cha 140; na (b) kulingana na ibara ya (4) na (5), mamlaka ya rufaa ya kusikiza na kuamua rufani kutoka - (i) Mahakama ya Rufaa; na (ii) mahakama yoyote nyingine au mahakama maalum kama inavyoidhinishwa na sheria ya kitaifa. (4) Rufaa zitakatwa kutoka kwa Mahakama ya Rufaa - (a) Kwa misingi ya haki katika kesi yoyote inayohusisha ufasiri na utekelezaji wa Katiba hii; na (b) katika kesi nyingine yoyote ambapo Mahakama ya Juu au Mahakama ya Rufaa inathibitisha kwamba suala muhimu kwa umma linahusika, kwa mujibu wa Ibara ya (5). (5) Uamuzi wa Mahakama ya Rufaa chini ya ibara ya (4) (b) unaweza kuangaliwa upya na Mahakama ya Juu, kuukubali, kuurekebisha au kubadilishwa ama kubatilishwa. (6) Mahakama ya Juu inaweza kutoa maoni ya ushauri kwa serikali ya taifa, taasisi yoyote ya serikali, au idara yeyote ya serikali ya kaunti iwapo itaombwa kufanya hivyo. (7) Mahakama nyingine zote, isipokuwa Mahakama ya Juu, zitafuata maamuzi ya Mahakama ya Juu. (8) Mahakama ya Juu itatunga sheria zitakazoongoza utekelezaji wa majukumu yake. (9) Sheria ya Bunge inaweza kutoa masharti zaidi kuhusu majukumu ya Mahakama ya Juu.

Soma kifungu kamili →

Mahakama ya Rufaa

Mahakama kubwa inayokagua majibu ya Mahakama Kuu.

Art. 164

(1) Kutabuniwa Mahakama ya Rufaa, ambayo – (a) itakuwa na idadi ya majaji ambao hawatapungua kumi na wawili kulingana na sheria za bunge; na (b) inaundwa na kusimamiwa kulingana na ufafanuzi wa Sheria ya Bunge. (2) Kutakuwa na Rais wa Mahakama ya Rufaa ambaye atachaguliwa na majaji wa mahakama ya Rufaa kutoka miongoni mwao. (3) Mahakama ya Rufaa ina mamlaka ya kusikiza rufaa kutoka – (a) Mahakama Kuu; na (b) mahakama nyingine au mahakama maalum kulingana na Sheria ya Bunge.

Soma kifungu kamili →

Mahakama Kuu

Mahakama kubwa kwa matatizo mazito.

Art. 165

(1) Kutabuniwa Mahakama Kuu ambayo - (a) inajumuisha idadi ya majaji kama itakavyobainishwa na Sheria ya Bunge; na (b) imeundwa na kusimamiwa kulingana na Sheria ya Bunge. (2) Kutakuwa na Jaji Kinara wa Mahakama Kuu ambaye atachaguliwa na majaji wa mahakama ya Juu kutoka miongoni mwao. (3) Kulingana na ibara ya (5), Mahakama Kuu ina – (a) mamlaka asilia yasiyokuwa na mpaka katika masuala ya uhalifu na masuala ya kiraia; (b) mamlaka ya kubaini iwapo haki au uhuru wa kimsingi katika Sheria ya Haki imenyimwa, kukiukwa, kuingiliwa au kutishiwa; au (c) mamlaka ya kusikiliza rufaa ya uamuzi wa mahakama maalum iliyoteuliwa chini ya Katiba hii kuchunguza kuondolewa kwa mtu kutoka afisini, tofauti na Tume iliyoteuliwa chini ya Kifungu cha 144; (d) mamlaka ya kusikiliza swala lolote kuhusu kufasiriwa kwa Katiba hii pamoja na kutoa uamuzi wa- (i) swali iwapo sheria yoyote inakiuka au kwenda kinyume na Katiba hii; (ii) swali iwapo chochote kinachosemwa kutekelezwa chini ya mamlaka ya Katiba hii au sheria yoyote, kinakiuka au kutekelezwa kinyume na Katiba hii; (iii) suala lolote linalohusu mamlaka ya kikatiba ya taasisi za serikali kwa mujibu wa serikali za kaunti na suala linalohusu uhusiano wa kikatiba kati ya viwango vya serikali; na (iv) swali linalohusu mkinzano wa sheria chini ya Kifungu cha 191. (4) suala lolote linalothibitishwa na mahakama kuwa linazua utata mkubwa kisheria chini ya ibara ya (3) (b) au (d) litatasikilizwa na idadi isiyo shufwa ya majaji, wasiopungua watatu , watakaoteuliwa na Jaji Mkuu. (5) Mahakama Kuu haina mamlaka kuhusiana na masuala – (a) yaliyotengewa mamlaka ya kipekee ya Mahakama ya Juu chini ya Katiba hii; au (b) yaliyo chini ya mamlaka ya mahakama yaliyotajwa katika Kifungu cha 162(2). (6) Mahakama Kuu ina mamlaka ya kusimamia mahakama ndogo na mtu yeyote, asasi au halmashauri, inayotekeleza jukumu la kimahakama au jukumu la mahakama ya kubuni, lakini siyo mahakama ya juu. (7) Kwa malengo ya ibara ya (6), Mahakama Kuu inaweza kuitisha rekodi za kesi yoyote iliyoko katika mahakama ndogo, au mtu, asasi au halmashauri kama ambavyo imetajwa katika ibara ya (6) na inaweza kutoa maagizo yoyote na kutoa maelekezo inayochukulia kuwa yanafaa ili kuhakikisha kwamba haki inatendeka.

Soma kifungu kamili →

Mahakama ndogo

Mahakama karibu nawe kwa matatizo madogo.

Art. 169

(1) Mahakama saidizi ni – (a) Mahakama za Mahakimu; (b) Mahakama za Kadhi; (c) Mahakama ya Kijeshi; na (d) Mahakama yoyote nyingine au mahakama maalum kama inavyoweza kubuniwa kwa Sheria ya Bunge, isipokuwa mahakama zilizobuniwa kwa mujibu wa kifungu cha 162 (2). (2) Bunge, kwa njia ya sheria litatoa mipaka, mamlaka na majukumu kwa mahakama ambazo zilizobuniwa chini ya ibara ya (1).

Soma kifungu kamili →

Jinsi kesi inavyosonga

Fuata hatua.

Kuna tatizo

Watu hawakubaliani au mtu anavunja sheria.

Mwombe mahakama

Mtu anaomba mahakama msaada.

Pande zote huzungumza

Kila upande unamwambia jaji kilichotokea.

Art. 50

(1) Kila mtu ana haki ya kutaka mzozo wowote unaoweza kusuluhishwa kisheria kuamuliwa katika kikao cha haki mahakamani au, ikiwezekana asasi au mahakama maalum iliyo huru na isiyoegemea upande wowote. (2) Kila mshtakiwa ana haki ya kesi yake kusikizwa kwa njia ya haki, ikiwemo haki ya- (a) kuaminiwa kutokuwa na hatia hadi ithibitishwe kinyume; (b) kuarifiwa kuhusu mashtaka na kupewa taarifa ya kutosha kuyahusu; (c) kuwa na wakati na vifaa vya kutosha kutayarisha nyenzo za kujitetea; (d) kushtakiwa kwenye mahakama ya umma iliyobuniwa kwa mujibu wa Katiba hii; (e) kuanzishwa na kumalizika kwa mashtaka bila kucheleweshwa; (f) kuwepo wakati wa kesi isipokuwa pale ambapo mienendo ya mshtakiwa inatatiza vikao vya kesi hiyo; (g) kuchagua na kuwakilishwa na wakili na kuelezwa kuhusu haki hii moja kwa moja; (h) kuwa na wakili aliyetolewa na Serikali kwa gharama ya Serikali yenyewe, endapo haki yake ya msingi imevunjwa, na aarifiwe kuhusu haki hii moja kwa moja; (i) kunyamaza, na kutotoa ushahidi wakati wa kesi; (j) kuelezwa mwanzoni kuhusu ushahidi ambao kiongozi wa mashtaka ananuia kutumia na kuweza kuufikia ushahidi huo. (k) kuleta na kupinga ushahidi; (l) kutolazimishwa kutoa ushahidi wa kujifunga; (m) kuwa na usaidizi wa mkalimani bila ya kulipishwa endapo mshtakiwa hawezi kuelewa lugha inayotumiwa katika kesi; (n) kutohukumiwa kwa kitendo, au kosa ambalo wakati wa utendekaji au ukosaji halikuwa- (i) kosa nchini Kenya; au (ii) kosa la jinai chini ya sheria ya kimataifa; (o) kutoshtakiwa kwa kosa la kulinganishwa na tendo au kosa ambalo mtu huyo amewahi ama kuachiliwa au kuhukumiwa kwalo; (p) kunufaika kwa angalau adhabu ndogo kabisa katika adhabu zilizoruhusiwa endapo adhabu iliyoidhinishwa kwa kosa lake imebadilishwa kati ya muda wa utendekaji wa kosa hilo na wakati wa kuhukumiwa; na (q) kukata rufani au kuchunguzwa upya kwa kesi hiyo na mahakama ya ngazi ya juu. (3) Kila kifungu hiki kinapohitaji taarifa kutolewa kwa mtu, taarifa hiyo itatolewa katika lugha anayoielewa mtu huyo. (4) Ushahidi unaopatikana katika njia inayokiuka haki yoyote au uhuru wowote wa kimsingi uliotolewa katika Sheria ya Haki utaachwa endapo utekelezaji wa ushahidi huo utafanya kesi kukosa haki au uwe kikwazo katika upatikanaji wa haki. (5) Mshtakiwa- (a) anayeshtakiwa kwa kosa fulani, kando na kosa ambalo mahakama inaweza kukamilisha kwa haraka, atakuwa na ruhusa endapo ataomba, ya kupata nakala ya rekodi za kesi. (b) ana haki ya kupata nakala ya rekodi ya kesi ya vikao vya mashtaka kwa wakati unaofaa baada ya kukamilishwa kwa kesi hiyo, kwa malipo fulani kama inavyoidhinishwa na sheria. (6) Mtu aliyehukumiwa kwa kosa la jinai anaweza kulalamikia mahakama kuu ili kusikizwa upya kwa kesi iwapo- (a) rufani yake imetupiliwa mbali na mahakama ya ngazi za juu ambayo mtu huyo alikuwa na haki ya kukata rufani, au awe hakukata rufani katika muda unaoruhusiwa kufanya hivyo; na (b) ushahidi mpya na wa kushawishi umepatikana. (7) Ili kutimiza haki, mahakama inaweza kuruhusu msuluhishi kusaidia mlalamishi au mshtakiwa kuwasiliana na mahakama. (8) Kifungu hiki hakikatazi kuzuiwa kwa vyombo vya habari ama umma kutokuwa mahakamani, kama kuzuiwa huko ni muhimu, katika jamii huru na ya kidemokrasia, ili kuwalinda mashahidi, wanyonge, maadili, utulivu wa umma, ama usalama wa kitaifa. (9 Bunge litatunga sheria ya kutoa ulinzi, haki na hali ya waathiriwa wa hatia.

Soma kifungu kamili →

Jaji huamua

Jaji husema nani ni sahihi na kwa nini.

Mwombe mahakama kubwa

Kama mtu hakubaliani, anaweza kuomba mahakama kubwa iangalie.

Jibu la mwisho

Mahakama kubwa zaidi hutoa jibu la mwisho.

Nani yuko mahakamani?

Wote wanasaidia.

Jaji

Husikiliza pande zote na kuamua.

Mawakili

Husaidia kila mtu kueleza upande wake.

Mashahidi

Humwambia jaji walichokiona au wanachojua.

Mkalimani

Husaidia kama mtu anazungumza lugha nyingine.

Haki zako mahakamani

Kila mtu anapata nafasi ya haki.

Nafasi ya haki

Kila mtu anapata kueleza upande wake.

Kuwa mwerevu hadi uthibitishwe

Hulazimiki kuthibitisha kwamba hukufanya kosa.

Wakili

Unaweza kupata mtu wa kukusaidia.

Sema hapana kukiri

Hakuna anayeweza kulazimisha ukiri jambo.

Art. 49

(1) Kila mtu aliyetiwa mbaroni ana haki ya- (a) kuarifiwa kwa upole na kwa lugha anayoielewa, kuhusu- (i) sababu ya kukamatwa; (ii) haki ya kunyamaza; na (iii) matokeo ya kutonyamaza; (b) kunyamaza; (c) kuwasiliana na wakili na watu wengine ambao msaada wao unahitajika; (d) kutolazimishwa kutubu au kukiri hatia, hali ambayo inaweza kutumiwa katika ushahidi dhidi yake; (e) kutenganishwa na watu wanaohudumia vifungo; (f) kufikishwa mahakamani haraka iwezekanavyo, lakini si baada ya- (i) saa ishirini na nne baada ya kukamatwa; au (ii) iwapo hizo saa ishirini na nne zimekamilika wakati ambapo vikao vya mahakama haviendelei au kwa siku isiyo ya mahakama, kufikia mwisho wa siku ya mahakama inayofuatia; (g) kufunguliwa mashtaka au kuarifiwa kuhusu sababu ya kuendelea kuzuiliwa kwake, au kuachiliwa huru siku yake ya kwanza ya kufikishwa mahakamani; na (h) kuachiliwa kwa dhamana kwa sababu zinazoeleweka kabla ya kushtakiwa isipokuwa kukiwa na sababu nyingine za kulazimisha kutendwa kinyume cha dhamana hiyo. (2) Mtu hatawekwa rumande kwa kosa linaloweza kuadhibiwa kwa kutozwa faini pekee au kufungwa gerezani kwa muda usiozidi miezi sita.

Soma kifungu kamili →

Wapi pa kupata msaada

Unaweza kuomba msaada.

Uliza mtu mzima unayemwamini

Mzazi au mwalimu anaweza kukusaidia kupata ofisi sahihi.

Msaada wa kisheria

Kuna ofisi zinazosaidia watu wasioweza kulipia wakili.

Art. 48

Serikali itahakikisha uwezekano wa watu wote kufikia haki na malipo yoyote yakihitajika, yatakuwa ya kufaa na hayatazuia uwezekano wa kutendewa haki.

Soma kifungu kamili →

Tume ya haki za binadamu

Husaidia watu wanapotendewa isivyo haki.

Art. 59

(1) Tume ya Haki za Kibinadamu na Usawa imeundwa. (2) Majukumu ya Tume hii ni- (a) kuendeleza kuheshimika kwa haki za binadamu na kuendeleza utamaduni wa kuheshimu haki za binadamu katika Jamhuri; (b) kuendeleza usawa wa kijinsia na usawazishaji kwa jumla, kuratibu na kuhakikisha jinsia imezingatiwa katika maendeleo ya kitaifa; (c) kuimarisha na kulinda uzingativu wa haki za binadamu katika taasisi za umma na za kibinafsi; (d) kufuatilia, kuchunguza na kuripoti uzingativu wa haki za binadamu katika nyanja zote za kitaifa zikiwemo idara za usalama wa kitaifa; (e) kupokea na kuchunguza malalamiko kuhusu tuhuma za ukiukaji wa haki na hivyo basi kuchukua hatua za kupata marekebisho yanayofaa pale ambapo haki za binadamu zimekiukwa; (f) kwa juhudi zake au kwa misingi ya malalamiko, kuchunguza au kutafiti juu ya haki za binadamu, na kutoa mapendekezo ya kuimarisha utendakazi wa mashirika ya Serikali; (g) kuwa kama chombo kikuu cha Serikali katika kuhakikisha uzingativu wa majukumu yaliyo chini ya maagano na mikataba inayohusu haki za binadamu; (h) kuchunguza mienendo yoyote katika masuala ya serikali, au kitendo au kosa katika utawala wa umma katika nyanja zote za serikali zinazotuhumiwa au kushukiwa kudhulumu au kutofaa, na kupelekea utovu wa nidhamu au dhuluma; (i) kuchunguza malalamiko yoyote kuhusu mienendo ya afisa ambayo ni pamoja na matumizi mabaya ya mamlaka, matendo mabaya, dhihirisho la kutotenda haki au kuvunja sheria, au kunyanyasa, na kutoshughulika; (j) kuripoti malalamiko yaliyochunguzwa katika aya ya (h) na (i) na kuchukua hatua za kurekebisha; (k) kutekeleza jukumu lingine lolote linaloagizwa na sheria. (3) kila mtu ana haki ya kulalamika kwa tume akidai kwamba haki na uhuru wa kimsingi katika Sheria ya Haki zimenyimwa, zimekiukwa, zimevunjwa au kutishiwa. (4) Bunge litatunga sheria kutoa uwezo kamili wa sehemu hii, na sheria nyingine yoyote kama hii inaweza kupanga upya Tume hii na kuzifanya kuwa mbili au zaidi zilizotenganishwa. (5) Iwapo Bunge litatunga sheria ya kupanga upya Tume chini ya ibara ya (4) - (a) sheria hiyo itagawa kila jukumu la Tume iliyotajwa katika Kifungu hiki kwa tume moja au nyingine zinazoirithi. (b) kila mojawapo ya tume hizi zilizorithi, itakuwa na mamlaka sawa na ile ya Tume ambayo imetajwa katika Kifungu hiki; na (c) kila tume iliyorithi itakuwa tume kwa maana ya iliyoko katika Sura ya Kumi na Tano, na itakuwa na hadhi na mamlaka sawa na tume zilizo chini ya Sura hii.

Soma kifungu kamili →

Nani anafanya nini?

JajiHuamua kesi.
MawakiliHusaidia kila upande.
PolisiHuchunguza kilichotokea.
Mwendesha mashtakaHumwambia mahakama Serikali inasema nini kilitokea.
WeweSema ukweli na uulize maswali.

Soma vifungu halisi

Hizi ni sheria halisi katika Katiba.

    Tafuta →